1 Kings 11:42-43

42Sulemani alitawala Israeli yote miaka arobaini, akiwa Yerusalemu. 43Kisha Sulemani akalala pamoja na baba zake, naye akazikwa katika mji wa Daudi baba yake. Naye Rehoboamu mwanawe akawa mfalme baada yake.
Copyright information for SwhKC